Utume wa Mama Hannah (UMH) ni taasisi ya kitume ya Kanisa Katoliki inayofanya kazi chini ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kupitia Idara ya Katekesi. UMH umejikita katika kuhamasisha, kuimarisha, na kusaidia wito wa Makatekista kama mhimili wa msingi wa kurithisha Imani na kueneza Injili ya Kristo.
Kupokea mahitaji ya Makatekista na kuyatimiza
Kuratibu mafunzo ya muda mrefu na mfupi
Kutoa motisha kwa Makatekista na vyuo vyao
Kutengeneza mitaala na vitabu vya mafundisho
Kutoa elimu kwa viongozi wa kiroho na walei kuhusu wajibu wao kwa Makatekista
Kusaidia maisha kamili ya Makatekista: kiroho, kimwili, kiuchumi, kijamii
Kutoa elimu juu ya ulinzi wa mtoto
Kuandaa semina, mafungo, na mafunzo mbalimbali
Kupokea mahitaji ya makatekista na kuyatimiza.
Kutoa Motisha kwa Makatekista na vyuo vya katekesi.
Kubuni vyanzo vya fedha
Kutengeneza mitaala na vitabu vya mafundisho.